Naibu Waziri wa Afya, Dr. Hamisi Kigwangalla February 6 2017 alitoa agizo juuu ya vijana Watanzania wanaodaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Dr. Kigwangalla ameagiza wafuatao wafike wenyewe Kituo cha kati cha Polisi Dar es salaam kwa mahojiano kabla hawajatafutwa…. James Delicious, Kaoge Mvuto na Dani Mtoto wa mama.

No comments:
Post a Comment